Swahili

Swahili
Swahili / Kenia / Kenya

KARIBU

MESSAGE IN SWAHILI
UJUMBE
Ujumbe wa redio na: Mwinjilisti Sieberen Voordewind

Mpenzi msikilizaji.Kunaye Kipofu aliyekaa kando ya barabara akiomba pesa ilimradi aweze kula.Ghafla akaskia umati wa watu ukija pembeni naye Kipofu kwa jina la Batimayo akauliza "Ni nini kinachoendelea?" Watu wakamjibu " Ni yesu mnazareti anayepita!". Awali Bathimayo alikua ameskia habari za yesu kwamba anapopita, miujiza yatendeka. Bathimayo akapasa sauti akisema " Yesu mwana wa Daudi , Nionee huruma Mimi!" Mara watu waliokua wanapita wakamdhihaki kwa kejeli wakikwambia " fyata(nyamaza)!" Ila Bathimayo akazidi kuipasa sauti tena na akasikama na kukuuliza : " Ni kipi unachohitaji nikutendee?" Kipofu akasema: "Bwana,Naomba niweze kuona!" Mara, Yesu akamponya na kumwambia: " Imani yako imekuponya" Soma hii hadithi ya Luka 18. Je? Wewe Ni Bathimayo na unalo hitaji? Je una upweke,ugonjwa,uzoefu,kufungwa au umechanganyikiwa? Je upo Karibu kukosa tumaini? Je maisha yako Yana ugumu? Je, umezama na kukwama dhambini? Hitaji lolote ulo nalo: mwite Yesu! Labda wasema:" yupo wapi Yesu?" Yesu kristo huskia Kila mahali tamko la mtu anayehitaji ukombozi! Mungu aishiye amenipa ufasaha was kuutuma ujumbe huu kwako,Ndio wewe, mwana was Yesu. Unapouskiza ujumbe huu, kikweli Ni yesu anayeupitisha mwenyeke kwako.Yesu akasema " Oneni,nimesimama mlangoni nabisha, ikiwa yeyote ataskia kwa makini na kutii sauti yangu na kuufungua mlango, ntaingia ndani na kushiriki meza Naye kwa pamoja." (Revelation 3). Wakati huu haswa , Bwana anabisha katika mlango was roho au nafsi yako, Akauliza iwapo ungependa kukombolewa ? Utampa nafasi aingie? Uamuzi wako Ni upi? Je, wamwita Bwana jinsi alivyo fanya Bathimayo? Bibilia yasema " itakua kwamba, yeyote aitaye jina la Yesu atakombolewa..." Anza wakati huu ,ufungue moyo wako kwa ajili ya Yesu! Yeye yuaja Sasa. Huu Ndio wakati wa kuupokea msamaha kabla siku hazijakwisha,ajapo Yesu kuwachukua wanake! Zipo nyakati ambapo injili haitahubiriwa Tena,Yesu ajapo kuwachukua wanaomkubali.Kwa hiyo wewe una lipi la kufanya Yesu apitapo? Labda unasema " wakati mwingine ntamkaribisha, labda kesho.". Kesho yawezekana haipo tena, utakua keshachelewa Kipofu Batimayo alimwita Yesu alipokua anapota Wala hakungoja siku nyengine au wakati mwingine.Hakusema kwamba angehitaji kuwaza kuhusu Jambo hilo. Pindi tu alipomskia Yesu akipita,alimwita. Utafanya lipi Basi? Mkubali Yesu Sasa na kwa Imani mkaribishe. Kwa goti omba msamaha popote ulipi maadamu utasamehewa dhambi zako.Mfwate na usisahau kwamba Yesu Ni zaidi ya dhoruba na pia yeye huyatuliza mawimbi na radio . Kupitia kwake makuu na maajabu yalitendeka. Yesu anapita : wafanya nini?? Fanya uamuzi ulio sahihi.

This is it's translation to Swahili language (By: Pastor Haggai Mogusu, Kenya), Message: If Jesus Pases (By: Evangelist Sieberen Voordewind).

Mpenzi msikilizaji.Kunaye Kipofu aliyekaa kando ya barabara akiomba pesa ilimradi aweze kula.Ghafla akaskia umati wa watu ukija pembeni naye Kipofu kwa jina la Batimayo akauliza "Ni nini kinachoendelea?" Watu wakamjibu " Ni yesu mnazareti anayepita!". Awali Bathimayo alikua ameskia habari za yesu kwamba anapopita, miujiza yatendeka. Bathimayo akapasa sauti akisema " Yesu mwana wa Daudi , Nionee huruma Mimi!" Mara watu waliokua wanapita wakamdhihaki kwa kejeli wakikwambia " fyata(nyamaza)!" Ila Bathimayo akazidi kuipasa sauti tena na akasikama na kukuuliza : " Ni kipi unachohitaji nikutendee?" Kipofu akasema: " Bwana,Naomba niweze kuona!" Mara, Yesu akamponya na kumwambia: " Imani yako imekuponya" Soma hii hadithi ya Luka 18. Je? Wewe Ni Bathimayo na unalo hitaji? Je una upweke,ugonjwa,uzoefu,kufungwa au umechanganyikiwa? Je upo Karibu kukosa tumaini? Je maisha yako Yana ugumu? Je, umezama na kukwama dhambini? Hitaji lolote ulo nalo: mwite Yesu! Labda wasema:" yupo wapi Yesu?" Yesu kristo huskia Kila mahali tamko la mtu anayehitaji ukombozi! Mungu aishiye amenipa ufasaha was kuutuma ujumbe huu kwako,Ndio wewe, mwana was Yesu. Unapouskiza ujumbe huu, kikweli Ni yesu anayeupitisha mwenyeke kwako.Yesu akasema " Oneni,nimesimama mlangoni nabisha, ikiwa yeyote ataskia kwa makini na kutii sauti yangu na kuufungua mlango, ntaingia ndani na kushiriki meza Naye kwa pamoja." (Revelation 3). Wakati huu haswa , Bwana anabisha katika mlango was roho au nafsi yako, Akauliza iwapo ungependa kukombolewa ? Utampa nafasi aingie? Uamuzi wako Ni upi? Je, wamwita Bwana jinsi alivyo fanya Bathimayo? Bibilia yasema " itakua kwamba, yeyote aitaye jina la Yesu atakombolewa..." Anza wakati huu ,ufungue moyo wako kwa ajili ya Yesu! Yeye yuaja Sasa. Huu Ndio wakati wa kuupokea msamaha kabla siku hazijakwisha,ajapo Yesu kuwachukua wanake! Zipo nyakati ambapo injili haitahubiriwa Tena,Yesu ajapo kuwachukua wanaomkubali.Kwa hiyo wewe una lipi la kufanya Yesu apitapo? Labda unasema " wakati mwingine ntamkaribisha, labda kesho.". Kesho yawezekana haipo tena, utakua keshachelewa Kipofu Batimayo alimwita Yesu alipokua anapota Wala hakungoja siku nyengine au wakati mwingine.Hakusema kwamba angehitaji kuwaza kuhusu Jambo hilo. Pindi tu alipomskia Yesu akipita,alimwita. Utafanya lipi Basi? Mkubali Yesu Sasa na kwa Imani mkaribishe. Kwa goti omba msamaha popote ulipi maadamu utasamehewa dhambi zako.Mfwate na usisahau kwamba Yesu Ni zaidi ya dhoruba na pia yeye huyatuliza mawimbi na radio . Kupitia kwake makuu na maajabu yalitendeka. Yesu anapita : wafanya nini?? Fanya uamuzi ulio sahihi.

Translated by: pastorelijahnyarondia

For more articles (in ENGLISH) click on: